Ndugu wateja wetu Ambao mnatumia huduma zetu za safari ya kutoka Burundi kuelekea Tanzania, Tunapenda kuwatangazia kuwa, Mda wowote kuanzia sasa tunaweza kutoa Taarifa ya Kuanza safari zetu za Burundi-Tanzania ambazo zilikuwa zimesitishwa kwa Mda kwasababu ya mlipuko wa Ugonjwa wa Covid19. Kulingana na Taarifa kutoka Mpakani huenda Shirika la Luba Express likaanza tena safari zake. Lakini Siku Rasmi ya kuanza safari zetu tutaitangaza mda wowote kuanzia sasa kupitia Accounts zetu. Facebook, Twitte, Linkedlin, Instagram, na Website. Asanteni kwa Kuichagua Luba Express kuwa jibu la changamoto ya Usafiri nchini Burundi na hata nje ya Burundi.
